Psalms 110:3


3 aAskari wako watajitolea kwa hiari
katika siku yako ya vita.
Ukiwa umevikwa fahari takatifu,
kutoka tumbo la mapambazuko
utapokea umande wa ujana wako.
Au: vijana wako watakujia kama umande.

Copyright information for SwhKC